Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Lonely

๐Ÿ‘ค Yammi Ft. Nandy โ€ข ๐ŸŽผ Lonely โ€ข โฑ๏ธ 3:31
๐ŸŽต 1475 characters
โฑ๏ธ 3:31 duration
๐Ÿ†” ID: 9813795

๐Ÿ“œ Lyrics

(Ah-ah-ah, ah-ah, ah)

Iwe kwa gongo ama kwa panga shoka
Penzi nimelitupa mbali
Hani mwa ongo moyo umepachuka
Imenisurubu dhohari

Te, te, te, mi najongea
Kwenye ulingo wa mapenzi nakimbia
Zote kwa zote najiengua
Chapter ya mapenzi nimefunga

Oh maido, oh maido
Ulinipa amani penzi kisado
Nikawa na imani mengi madoido
Nikijua mi napendwa, nikavimba kichwa

Ah-ah, maido
Nayaweka kando ma kando-kando
Imenichosha mingi misondo
Hii safari nimemaliza mwendo

Ah-ah-ah, taratibu
Gonjwa langu lishapata tabibu
Nime dabwalika sipati taabu
Oh-oh, taabu
Maajabu, nimezoea wala sina hadhabu
Ka moyo twika kana feel hii vibe

I don't know, I don't know
Ila, I'm so lonely
I'm so lonely
I don't known, ila na enjoy kuwa lonely
I'm so lonely
I don't know, ila na enjoy kuwa lonely

(Ah-ah-ah, ah-ah, ah)
Oh, bartender give me one shoti
Ninywe kamnyweso hadi nishike magoti
Nipo free to be single, so sweet
Niko free to be single, so sweety

Ah-ah, mashallah
Yalishapona majeraha
Roho kwatu imejaa furaha
Kufa kwaja nakula raha

Ah-ah-ah, taratibu
Gonjwa langu lishapata tabibu
Nime dabwalika sipati taabu
Oh-oh, taabu
Maajabu, nimezoea wala sina hadhabu
Ka moyo twika kana feel hii vibe

I don't know, I don't know
Ila, I'm so lonely
I'm so lonely
I don't known, ila na enjoy kuwa lonely
I'm so lonely
I don't know, ila na enjoy kuwa lonely

Ah-ah, mashallah
Yalishapona majeraha
Roho kwatu imejaa furaha
Kufa kwaja naponda raha aaah
I'm so lonely
I don't know, ila na enjoy kuwa lonely

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:03.43] (Ah-ah-ah, ah-ah, ah)
[00:19.63] Iwe kwa gongo ama kwa panga shoka
[00:22.58] Penzi nimelitupa mbali
[00:24.75] Hani mwa ongo moyo umepachuka
[00:27.69] Imenisurubu dhohari
[00:29.74] Te, te, te, mi najongea
[00:32.09] Kwenye ulingo wa mapenzi nakimbia
[00:34.27] Zote kwa zote najiengua
[00:37.78] Chapter ya mapenzi nimefunga
[00:39.88] Oh maido, oh maido
[00:41.90] Ulinipa amani penzi kisado
[00:44.23] Nikawa na imani mengi madoido
[00:47.37] Nikijua mi napendwa, nikavimba kichwa
[00:50.46] Ah-ah, maido
[00:52.06] Nayaweka kando ma kando-kando
[00:54.71] Imenichosha mingi misondo
[00:57.24] Hii safari nimemaliza mwendo
[00:59.62] Ah-ah-ah, taratibu
[01:01.98] Gonjwa langu lishapata tabibu
[01:04.51] Nime dabwalika sipati taabu
[01:07.95] Oh-oh, taabu
[01:10.68] Maajabu, nimezoea wala sina hadhabu
[01:14.43] Ka moyo twika kana feel hii vibe
[01:18.39] I don't know, I don't know
[01:19.95] Ila, I'm so lonely
[01:25.06] I'm so lonely
[01:28.21] I don't known, ila na enjoy kuwa lonely
[01:35.48] I'm so lonely
[01:38.37] I don't know, ila na enjoy kuwa lonely
[01:43.19] (Ah-ah-ah, ah-ah, ah)
[01:50.91] Oh, bartender give me one shoti
[01:53.50] Ninywe kamnyweso hadi nishike magoti
[01:55.92] Nipo free to be single, so sweet
[01:58.39] Niko free to be single, so sweety
[02:00.86] Ah-ah, mashallah
[02:03.42] Yalishapona majeraha
[02:05.63] Roho kwatu imejaa furaha
[02:08.25] Kufa kwaja nakula raha
[02:10.50] Ah-ah-ah, taratibu
[02:12.62] Gonjwa langu lishapata tabibu
[02:15.04] Nime dabwalika sipati taabu
[02:18.70] Oh-oh, taabu
[02:21.45] Maajabu, nimezoea wala sina hadhabu
[02:25.22] Ka moyo twika kana feel hii vibe
[02:28.77] I don't know, I don't know
[02:30.51] Ila, I'm so lonely
[02:35.93] I'm so lonely
[02:39.02] I don't known, ila na enjoy kuwa lonely
[02:45.94] I'm so lonely
[02:49.01] I don't know, ila na enjoy kuwa lonely
[03:01.84] Ah-ah, mashallah
[03:03.98] Yalishapona majeraha
[03:06.30] Roho kwatu imejaa furaha
[03:08.78] Kufa kwaja naponda raha aaah
[03:16.28] I'm so lonely
[03:19.45] I don't know, ila na enjoy kuwa lonely
[03:22.55]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings