Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Nitashinda

๐Ÿ‘ค Mathias Walichupa โ€ข ๐ŸŽผ Nitashinda โ€ข โฑ๏ธ 3:52
๐ŸŽต 1314 characters
โฑ๏ธ 3:52 duration
๐Ÿ†” ID: 9834446

๐Ÿ“œ Lyrics

Hu ndio utambulisho wangu
Kwamba mi ni mzawa wa kifalme
Alinijua
Tangu mawazoni mwake eeh
Alishanichagua niwe
Wa upande wake eeh
Ugumu wa changamoto
Zinazo nikabili
Hautoshi kubadili mawazo
Mungu anayoniwazia
Nina imani upo wakati
Ambao mema
Uliyopanga yatatimia
Maana
Sijaandikiwa kushindwa aah
Nimeandikiwa kushinda Aah
MUNGU yuko upande wangu uuh
Nitashinda zaidi ya kushinda
Nina imani nitashinda (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
Najua uko upande wangu
Naamini (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
YESU uko upande wangu naamini
Naamini Naamini Iyeiyeee
Kwako nitangoja (Neno lako)
Kwako nitangoja (Sauti yako)
Kwako nitangoja kibali chako
Bwana unipatie
Nitangoja (Amani yangu)
Nitangoja (Uponyaji wangu)
Uweponi mwako YESU nitakaa
Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
Hakuna (Hakuna)
Iyeiyeeee
Tena ukisema ndio (Hakuna)
Nani Apinge eeh (Hakuna)
Hakuna (Hakuna)
Nitashinda kwa maana
Sijaandikiwa kushindwa aah
Nimeandikiwa kushinda Aah
MUNGU yuko upande wangu uuh
Nitashinda zaidi ya kushinda
Aaah (Aaah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
Najua uko upande wangu
Naamini (Aah)
Mi nitashinda (Aah)
Mimi nitashinda (Aah)
YESU uko upande wangu
Naamini (Aah)
Iyeiyeee
Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
Hakuna (Hakuna)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:11.72] Hu ndio utambulisho wangu
[00:15.03]
[00:17.28] Kwamba mi ni mzawa wa kifalme
[00:21.41] Alinijua
[00:23.56] Tangu mawazoni mwake eeh
[00:25.97]
[00:28.58] Alishanichagua niwe
[00:30.50] Wa upande wake eeh
[00:32.75]
[00:34.87] Ugumu wa changamoto
[00:37.71] Zinazo nikabili
[00:40.34] Hautoshi kubadili mawazo
[00:42.42] Mungu anayoniwazia
[00:46.11] Nina imani upo wakati
[00:49.19] Ambao mema
[00:51.70] Uliyopanga yatatimia
[00:55.35] Maana
[00:56.65] Sijaandikiwa kushindwa aah
[00:59.20]
[01:02.15] Nimeandikiwa kushinda Aah
[01:04.35]
[01:08.15] MUNGU yuko upande wangu uuh
[01:10.37]
[01:13.39] Nitashinda zaidi ya kushinda
[01:16.93] Nina imani nitashinda (Aah)
[01:20.03] Mi nitashinda (Aah)
[01:22.93] Mimi nitashinda (Aah)
[01:26.39] Najua uko upande wangu
[01:28.93] Naamini (Aah)
[01:31.31] Mi nitashinda (Aah)
[01:34.12] Mimi nitashinda (Aah)
[01:37.54] YESU uko upande wangu naamini
[01:39.93]
[01:42.89] Naamini Naamini Iyeiyeee
[01:45.11]
[01:51.77] Kwako nitangoja (Neno lako)
[01:54.65] Kwako nitangoja (Sauti yako)
[01:57.60] Kwako nitangoja kibali chako
[02:01.14] Bwana unipatie
[02:03.88] Nitangoja (Amani yangu)
[02:06.56] Nitangoja (Uponyaji wangu)
[02:08.56] Uweponi mwako YESU nitakaa
[02:10.76]
[02:14.34] Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
[02:17.46] Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
[02:20.54] Hakuna (Hakuna)
[02:24.21] Iyeiyeeee
[02:26.17] Tena ukisema ndio (Hakuna)
[02:29.07] Nani Apinge eeh (Hakuna)
[02:32.11] Hakuna (Hakuna)
[02:35.59] Nitashinda kwa maana
[02:38.36] Sijaandikiwa kushindwa aah
[02:40.57]
[02:44.11] Nimeandikiwa kushinda Aah
[02:46.31]
[02:49.84] MUNGU yuko upande wangu uuh
[02:52.09]
[02:55.11] Nitashinda zaidi ya kushinda
[02:57.30]
[02:59.48] Aaah (Aaah)
[03:01.90] Mi nitashinda (Aah)
[03:04.49] Mimi nitashinda (Aah)
[03:07.99] Najua uko upande wangu
[03:10.82] Naamini (Aah)
[03:12.93] Mi nitashinda (Aah)
[03:15.89] Mimi nitashinda (Aah)
[03:19.46] YESU uko upande wangu
[03:22.04] Naamini (Aah)
[03:24.26]
[03:30.71] Iyeiyeee
[03:33.69] Maana ukiwa upande wangu (Hakuna)
[03:37.03] Ni nani aliye juu yangu (Hakuna)
[03:39.68] Hakuna (Hakuna)
[03:39.98]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings