Hasara Roho
๐ต 1551 characters
โฑ๏ธ 3:11 duration
๐ ID: 9839706
๐ Lyrics
Ah!
Kama unataka kiki kwa piki piki
Mara black mara white vipi?
Kama unatikisa kiberiti
I play no game am sorry rafiki
Ukija kama upepo uta pepea
Ukijifanya una mapepo tuna kemea
Kama unataka mchezo kawashe runinga
Sikuizi hakuna mta anataka ujinga
Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi
Meli inaelea feli inazama shilingi
Haraka na harakati zako za pimbi
Unataka kucheza wewe na ushike firimbi
Binadamu angekua nature, maneno yange shutigi kama risasi
Vitu vingine vikienda, havirudi rivasi kama samaki
Hasara roho inacho penda, tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasiwasi, tukaze mwendo ili twende na wakati eh
Dunia iweke tuzo za wachukiaji
Bongo kunawatu wana vipaji
Narusha madongo kwenye maji
Bora upige michongo utanipa midadi
Mara chenga mara no network
Zigi zaga vitu avieleweki
Life sikuizi imezidi kua complicate
Ukichanganya na mambo ya internet
Jelas, kesho utatukana picha ukutani
Relax, Hatutafuti mchawi nani
Sasa chagua utajifungia chumbani
Au unatoka goma lipo uwanjani
Kushoto kulia juu chini kamatia
Mzigo wa abiria dereva na gia
Kichwa cha panzi alewe sifa kama bia
Si Tupo Serious wee Unatuektia
Eeh!

Vitu vingine vikienda, havirudigi rivasi kama samaki

Utasema Nakudiss
Ila mi mwenyewe unanimix
Mengine ni madaranzi na sura ya machungwa utajua vipi
Kujiswichi swichi
Mtu kiatu mtu fifti fifti
Uji haufai hutaki chai
Moja haikai mbili haifai wee wapi Unafitii.
Eeh!!

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:18.11] Ah!
[00:19.02] Kama unataka kiki kwa piki piki
[00:21.22] Mara black mara white vipi?
[00:23.29] Kama unatikisa kiberiti
[00:25.28] I play no game am sorry rafiki
[00:28.06] Ukija kama upepo uta pepea
[00:30.12] Ukijifanya una mapepo tuna kemea
[00:32.23] Kama unataka mchezo kawashe runinga
[00:35.01] Sikuizi hakuna mta anataka ujinga
[00:37.11] Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi
[00:39.20] Meli inaelea feli inazama shilingi
[00:42.01] Haraka na harakati zako za pimbi
[00:44.09] Unataka kucheza wewe na ushike firimbi
[00:47.29] Binadamu angekua nature, maneno yange shutigi kama risasi
[00:52.08] Vitu vingine vikienda, havirudi rivasi kama samaki
[00:56.24] Hasara roho inacho penda, tunasemaga pesa makaratasi
[01:01.08] Hakuna wasiwasi, tukaze mwendo ili twende na wakati eh
[01:14.12] Dunia iweke tuzo za wachukiaji
[01:16.28] Bongo kunawatu wana vipaji
[01:19.12] Narusha madongo kwenye maji
[01:21.15] Bora upige michongo utanipa midadi
[01:23.28] Mara chenga mara no network
[01:26.06] Zigi zaga vitu avieleweki
[01:28.13] Life sikuizi imezidi kua complicate
[01:30.16] Ukichanganya na mambo ya internet
[01:32.27] Jelas, kesho utatukana picha ukutani
[01:35.06] Relax, Hatutafuti mchawi nani
[01:37.13] Sasa chagua utajifungia chumbani
[01:39.21] Au unatoka goma lipo uwanjani
[01:42.00] Kushoto kulia juu chini kamatia
[01:44.09] Mzigo wa abiria dereva na gia
[01:46.18] Kichwa cha panzi alewe sifa kama bia
[01:49.00] Si Tupo Serious wee Unatuektia
[01:51.12] Eeh!
[01:52.08] Binadamu angekua nature, maneno yange shutigi kama risasi
[01:57.00] Vitu vingine vikienda, havirudigi rivasi kama samaki
[02:01.11] Hasara roho inacho penda, tunasemaga pesa makaratasi
[02:06.04] Hakuna wasiwasi, tukaze mwendo ili twende na wakati eh
[02:19.23] Utasema Nakudiss
[02:21.20] Ila mi mwenyewe unanimix
[02:24.16] Mengine ni madaranzi na sura ya machungwa utajua vipi
[02:29.09] Kujiswichi swichi
[02:30.24] Mtu kiatu mtu fifti fifti
[02:33.22] Uji haufai hutaki chai
[02:34.26] Moja haikai mbili haifai wee wapi Unafitii.
[02:37.18] Eeh!!