Mbosso - Tamu (Official Music Video) SKIZA 8544941 to 811
๐ต 1601 characters
โฑ๏ธ 3:37 duration
๐ ID: 9847546
๐ Lyrics
Wasafi Records...
Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo
Mususu ya soro ndombolo
Na bando letu la buku twapeluzi mpaka tomorrow
Mambo iko huku penzi twalila kwa solo
Hmmm
Anipelekesha msobe msobe Kama fuso lapanda mlima
Na nilivyo fundi kuchelewesha Kobe kobe
Simpi dusko nzima nzima (aah)
Mukoroge sumu mnywe wenye vijiba vya roho
Yata watoka mapunye muumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yako
Itafune imung'unye ifike kunako
ooh baby Kushika kiuno (tamu)
Niku chumu chumu (tamu)
Niki kukumbatiaa (tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby (Tamu)
Yani mpaka kisogoni (tamu)
Torororoo (tamu)
Tamu kolea
Baby tufanye wazi wazi watuone
Picha weka DP na makopa kopa caption
Baby walokosa kazi wanong'one
Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen
Waambie vimberu mberu Sio penzi la mashaka
Tusha soma dua kusitirika kwa wenye macho ya paka
Wambiee Mimi beberu sio jogo la pasaka
Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka
Steel wire ananisugua (Kwa makovu kovu)
Hanaga mbaya laazizi (show mbovu mbovu)
Tena fundi mwaya Kazi anaijua (My love love)
Haijawahi kupwaya yani kidhi
Mukoroge sumu munywe wenye vijiba vya roho
Yata wa toka mapunye Mumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yakoo
Itafune imung'unye ifike kunako
Ooh baby kikushika kiuno (tamu)
Niku chumu chumu (tamu)
Niki kukumbatiaa (tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby (tamu)
Yani mpaka kisogoni (Tamu)
Torororoo (tamu)
Tamu kolea
Ebo baby mtoto kakua (kasima dede)
Nimtazame (Kasimama dede)
Mwana anatembea (Kasimama dede)
Yani tee tee Anataka aking'ate (Kasimama dede)
Kaona kitumbua (Kasimama dede)
Amekua baba (kasimama dede)
Yani tee tee tee

โฑ๏ธ Synced Lyrics
[00:08.19] Wasafi Records...
[00:09.60] Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo
[00:13.67] Mususu ya soro ndombolo
[00:18.31] Na bando letu la buku twapeluzi mpaka tomorrow
[00:22.34] Mambo iko huku penzi twalila kwa solo
[00:27.62] Hmmm
[00:29.92] Anipelekesha msobe msobe Kama fuso lapanda mlima
[00:36.79] Na nilivyo fundi kuchelewesha Kobe kobe
[00:43.20] Simpi dusko nzima nzima (aah)
[00:46.76] Mukoroge sumu mnywe wenye vijiba vya roho
[00:52.86] Yata watoka mapunye muumwe kwashakoo
[00:57.85] Tena wavimbe na wanune ishakua yako
[01:02.66] Itafune imung'unye ifike kunako
[01:06.88] Ooh baby Kushika kiuno (tamu)
[01:09.33] Niku chumu chumu (tamu)
[01:12.03] Niki kukumbatiaa (tamu)
[01:15.13] Tamu kolea
[01:17.19] Penzi letu baby (Tamu)
[01:19.64] Yani mpaka kisogoni (tamu)
[01:21.41] Torororoo (tamu)
[01:23.72] Tamu kolea
[01:26.73] Baby tufanye wazi wazi watuone
[01:29.59] Picha weka DP na makopa kopa caption
[01:34.18] Baby walokosa kazi wanong'one
[01:40.66] Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen
[01:44.19] Waambie vimberu mberu Sio penzi la mashaka
[01:50.03] Tusha soma dua kusitirika kwa wenye macho ya paka
[01:54.27] Wambiee Mimi beberu sio jogo la pasaka
[01:59.06] Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka
[02:04.26] Steel wire ananisugua (Kwa makovu kovu)
[02:08.14] Hanaga mbaya laazizi (show mbovu mbovu)
[02:13.35] Tena fundi mwaya Kazi anaijua (My love love)
[02:18.14] Haijawahi kupwaya yani kidhi
[02:21.40] Mukoroge sumu munywe wenye vijiba vya roho
[02:28.86] Yata wa toka mapunye Mumwe kwashakoo
[02:33.57] Tena wavimbe na wanune ishakua yakoo
[02:38.12] Itafune imung'unye ifike kunako
[02:42.49] Ooh baby kikushika kiuno (tamu)
[02:45.26] Niku chumu chumu (tamu)
[02:47.51] Niki kukumbatiaa (tamu)
[02:50.43] Tamu kolea
[02:52.62] Penzi letu baby (tamu)
[02:54.88] Yani mpaka kisogoni (Tamu)
[02:57.29] Torororoo (tamu)
[02:59.60] Tamu kolea
[03:10.69] Ebo baby mtoto kakua (kasima dede)
[03:13.92] Nimtazame (Kasimama dede)
[03:15.64] Mwana anatembea (Kasimama dede)
[03:18.49] Yani tee tee Anataka aking'ate (Kasimama dede)
[03:22.35] Kaona kitumbua (Kasimama dede)
[03:24.74] Amekua baba (kasimama dede)
[03:27.51] Yani tee tee tee
[03:31.89]