Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mocco Genius Ft Alikiba - Napendwa II (Official Music Video)

๐Ÿ‘ค Mocco Genius โ€ข ๐ŸŽผ Mocco Genius Videos โ€ข โฑ๏ธ 3:33
๐ŸŽต 1670 characters
โฑ๏ธ 3:33 duration
๐Ÿ†” ID: 9857894

๐Ÿ“œ Lyrics

Napendwa Remix
Ouheee oooaaah ooh
(Yeooh)
(Mocco Genius)
Nakupa salamu kwanza pole Ex
Mi kwanza sahizi nanenepa
Nilie nae kanitoa stress
nimesahau michoko ya nyuma nilipotoka
Hivi bado analupost?
Bwana wako analupost?
Walionichamba wale mashoga zako, hivi wapo wale mashost?
Namba zako nilikwishafuta nimezitafuta tu nikupe taarifa,
nimempata amenipata hodari mwenye kila sifa
Juzi nimeona umepost picha insta
umezidi kongoroka
mifupa ilivyokutoka
utadhani umetapikwa na nyoka
(Hook)
Umekondeana (Polee, pole sana)
vipi danga lako la Masaki mmeshaachana?
Si tumependezana (Tumependezana)
Roba ya mapenzi alonibaka imeshanibana
(Yani rahaaa...)
Napendwaa napendwa
Napendwaa napendwa
Napendwaa napendwa
(Ah! Hili chaka si chaka ning'oki)
Napendwaa napendwa
Napendwaa napendwa
Napendwaa napendwa
(Mi nilisharulizanaa)
(Alikiba)
Eeh! Unakazi ya kushindia vijora
cream imekuharibu sura,
we na bwana wako mmekutana wote hamna hela
Serikali imekwisha sera
kumbe chakula cha masera
Mie huku mwenzako penzi limechanganya mperampera ooh!
Na niliforce maji kupanda mlima
napambana kuwasha kumbe unazima
nikaugua baridi na kutetema
yani maateso
ukawa unaringa kama umepima ah!
na pole dada sasa umechina
nimempata fundi sasa Ronaldo Delima
ni minesoo!
Nilijua tu tusingefika mbali wewe na mimi
unapenda makuu ndomana hukujali kidogo cha mimi
(Hook)
Umekondeana (Polee, pole sana)
vipi danga lako la Masaki mmeshaachana?
Si tumependezana (Tumependezana)
Roba ya mapenzi alonibaka imeshanibana
(Yani rahaaa...)
Napendwaa napendwa
Napendwaa napendwa
Napendwaa napendwa
(Ah! Hili chaka si chaka ning'oki)
Napendwaa napendwa
Napendwaa napendwa
Napendwaa napendwa
(Ooh mama maa aayaa aah)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:04.24] Napendwa Remix
[00:05.18] Ouheee oooaaah ooh
[00:09.46] (Yeooh)
[00:10.30] (Mocco Genius)
[00:12.19] Nakupa salamu kwanza pole Ex
[00:13.23] Mi kwanza sahizi nanenepa
[00:15.87] Nilie nae kanitoa stress
[00:18.00] Nimesahau michoko ya nyuma nilipotoka
[00:21.67] Hivi bado analupost?
[00:23.88] Bwana wako analupost?
[00:26.11] Walionichamba wale mashoga zako, hivi wapo wale mashost?
[00:29.18] Namba zako nilikwishafuta nimezitafuta tu nikupe taarifa,
[00:35.80] Nimempata amenipata hodari mwenye kila sifa
[00:41.26] Juzi nimeona umepost picha insta
[00:45.04] Umezidi kongoroka
[00:46.55] Mifupa ilivyokutoka
[00:49.78] Utadhani umetapikwa na nyoka
[00:51.57] (Hook)
[00:53.15] Umekondeana (Polee, pole sana)
[00:55.77] Vipi danga lako la Masaki mmeshaachana?
[00:59.27] Si tumependezana (Tumependezana)
[01:04.18] Roba ya mapenzi alonibaka imeshanibana
[01:10.54] (Yani rahaaa...)
[01:14.03] Napendwaa napendwa
[01:19.38] Napendwaa napendwa
[01:20.37] Napendwaa napendwa
[01:25.92] (Ah! Hili chaka si chaka ning'oki)
[01:28.47] Napendwaa napendwa
[01:32.83] Napendwaa napendwa
[01:33.97] Napendwaa napendwa
[01:35.20] (Mi nilisharulizanaa)
[01:36.37] (Alikiba)
[01:41.34] Eeh! Unakazi ya kushindia vijora
[01:44.97] Cream imekuharibu sura,
[01:49.56] We na bwana wako mmekutana wote hamna hela
[01:52.02] Serikali imekwisha sera
[01:54.70] Kumbe chakula cha masera
[01:57.84] Mie huku mwenzako penzi limechanganya mperampera ooh!
[02:03.43] Na niliforce maji kupanda mlima
[02:05.27] Napambana kuwasha kumbe unazima
[02:07.53] Nikaugua baridi na kutetema
[02:09.64] Yani maateso
[02:12.14] Ukawa unaringa kama umepima ah!
[02:14.93] Na pole dada sasa umechina
[02:17.89] Nimempata fundi sasa Ronaldo Delima
[02:20.50] Ni minesoo!
[02:22.19] Nilijua tu tusingefika mbali wewe na mimi
[02:25.36] Unapenda makuu ndomana hukujali kidogo cha mimi
[02:32.57] (Hook)
[02:36.33] Umekondeana (Polee, pole sana)
[02:39.34] Vipi danga lako la Masaki mmeshaachana?
[02:40.64] Si tumependezana (Tumependezana)
[02:45.03] Roba ya mapenzi alonibaka imeshanibana
[02:50.87] (Yani rahaaa...)
[02:55.09] Napendwaa napendwa
[02:57.30] Napendwaa napendwa
[02:59.85] Napendwaa napendwa
[03:02.11] (Ah! Hili chaka si chaka ning'oki)
[03:04.78] Napendwaa napendwa
[03:06.06] Napendwaa napendwa
[03:07.58] Napendwaa napendwa
[03:09.27] (Ooh mama maa aayaa aah)
[03:22.44]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings