Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Give Up

๐Ÿ‘ค Mimi Mars โ€ข ๐ŸŽผ Give Up โ€ข โฑ๏ธ 2:55
๐ŸŽต 1378 characters
โฑ๏ธ 2:55 duration
๐Ÿ†” ID: 9894401

๐Ÿ“œ Lyrics

Nimeshagongwa na nyoka
Ndo maana naogopa
Hata nikiguswa na jani

Huko nilipotoka
Mwanzo nilishasota
Kutafuta amani

Wala sio kwamba
Sikufikiriiii nakuwazaga

Tena sio kwamba sikupendi
Nakupendaga (aahh)

Ila kwenye haya mambo
Ya malavi davi

Mwenzako nisha give up
Oooh give up! Oooh give up!

Na kwenye haya mambo
Si ya kupendana
Mwenzako nisha give up
Oooh give up! Oooh give up!

I think about money (eeehhhh)
Ndo inanipa furaha
Ukitaka tuelewane (eeeehhh)
Labda uje na chapaaa (aahhh)

Nakuangalia kwenye macho nakuvaa
Nakuona ndani ya moyo wako
Hauna furaha

Hauna imani na mapenzi umejikataa
Umemaliza kucha kwako kujikwaa jikwaa
Huwezi niambie utabakia single

You have no idea mi maji ya shingo
Siko hapa Lindo sina hiyo mitindo
Jackpot bingo penzi la kishindo

Ushakutana na washenzi hawaeleweki
Wacha nikupe mapenzi kudadadeki
Wacha nikupe nafasi ya kujiona keki
We malkia unahitaji kitu cha kuketi

Furaha inatibika mambo yanabadilika
Mi Mwenzako tika tika
Niko misitu na nyika
Niko kiangazi masika
Nitapilika pilika na weee

You need love baby girl
Mapenzi ni dawa

Ila kwenye haya mambo
Ya malavi davi
Mwenzako nisha give up
Oooh give up! Oooh give up!

Na kwenye haya mambo
Si ya kupendana
Mwenzako nisha give up
Oooh give up! Oooh give up!

I think about money (eeehhhh)
Ndo inanipa furaha
Ukitaka tuelewane (eeeehhh)
Labda uje na chapaaa (aahhh)

The Mix killer!

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings