Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mfalme (feat. G Nako)

๐Ÿ‘ค MwanaFA โ€ข ๐ŸŽผ Mfalme โ€ข โฑ๏ธ 4:05
๐ŸŽต 2533 characters
โฑ๏ธ 4:05 duration
๐Ÿ†” ID: 9934986

๐Ÿ“œ Lyrics

Look around brother
Master!
Ghetto Gospel (Yes!)
Keeping the good music alive!
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfaaalmeee
Holla at ya boy!
Sinung'uniki sina viatu
Wenzangu hawana miguu
Hawalalamiki wanamshukuru
Aliyejuu
Siwezi nikamletea makuu maombi ya kibraza du
Mbwembwe za kuomba magari nawaachia son I'm
Cool
Kama kipande cha kwanza cha mbao kwenye Safina
Mimi ni kitu cha Mungu nafanya alichonituma
Kanipa ubongo na misuli na roho ya kitajili
Sina kitu ila sina roho mbaya
Tunaishi vizuri
Fukara nayeshukuru au tajiri nisiyekufuru
Najua bata najua hustle mi ni njiwa na kunguru
Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla
Hujamuomba utajiri
Naishi kwa mapenzi yake hakuna kitu naona Hatari
Unapata ulichoandikiwa Mungu hakupi kama Hataki
Hata ukipora itapotea ili mradi yatimie
Maandishi
Mi ndo vito wa kolioni vitu vinaisha my way
Nife nikiwa muumini na everything gon' be I Man
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!) Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Najua anamipango, anafungua milango
Ndo anatoa michongo, namwita Mfalme Wa
Jungle
Boss wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo
Mwenye maamuzi ya mwisho angetaka
Angeniumba fungo
Mafala wana midomo ka vicheche usiwe kati yao
Wanaosema wenzao rudi angalia maisha yao
Wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao Maskini
Haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea Mimi
Ni hata mtoa wa roho ni malaika, na nahisi Ataenda peponi
Achia kuhukumu sio kazi yako, we ni mwenzangu Na mimi
Na una dhambi kama mimi, na hatujui kubwa za Nani
Labda zako labda zangu, sio kazi yetu ni ya Maanani
Usiniwaze sana mi nawaza maisha yangu
Sina hata mia ya urithi vyote hivi ni vya kwangu
Nshaenda shule bila viatu, nshatoa funza kama Buku
Na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela Zangu
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:05.41] Look around brother
[00:07.02] Master!
[00:08.01] Ghetto Gospel (Yes!)
[00:08.93] Keeping the good music alive!
[00:11.06] Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
[00:13.91] Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
[00:17.12] Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
[00:19.32] Olooh! (Mfalmee!)
[00:22.26] Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
[00:23.72] Ikajipa sifa, kaziba nyufa
[00:27.67] Namwiita ye Mfalmeee
[00:31.41] Mfaaalmeee
[00:44.79] Holla at ya boy!
[00:55.15] Sinung'uniki sina viatu
[00:56.78] Wenzangu hawana miguu
[00:58.39] Hawalalamiki wanamshukuru
[01:00.15] Aliyejuu
[01:00.75] Siwezi nikamletea makuu maombi ya kibraza du
[01:03.64] Mbwembwe za kuomba magari nawaachia son I'm
[01:05.85] Cool
[01:06.85] Kama kipande cha kwanza cha mbao kwenye Safina
[01:09.18] Mimi ni kitu cha Mungu nafanya alichonituma
[01:11.64] Kanipa ubongo na misuli na roho ya kitajili
[01:14.41] Sina kitu ila sina roho mbaya
[01:16.47] Tunaishi vizuri
[01:17.82] Fukara nayeshukuru au tajiri nisiyekufuru
[01:19.33] Najua bata najua hustle mi ni njiwa na kunguru
[01:22.54] Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla
[01:24.37] Hujamuomba utajiri
[01:25.97] Naishi kwa mapenzi yake hakuna kitu naona Hatari
[01:28.39] Unapata ulichoandikiwa Mungu hakupi kama Hataki
[01:31.18] Hata ukipora itapotea ili mradi yatimie
[01:33.33] Maandishi
[01:34.22] Mi ndo vito wa kolioni vitu vinaisha my way
[01:36.79] Nife nikiwa muumini na everything gon' be I Man
[01:39.89] Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
[01:42.30] Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
[01:44.81] Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
[01:47.77] Olooh! (Mfalmee!) Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
[01:49.54] Ikajipa sifa, kaziba nyufa
[01:50.46] Namwiita ye Mfalmeee
[01:50.73] Mfalmeee
[01:51.06] Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
[02:04.35] Ikajipa sifa, kaziba nyufa
[02:05.89] Namwiita ye Mfalmeee
[02:09.67] Mfalmeee
[02:13.26] Najua anamipango, anafungua milango
[02:15.08] Ndo anatoa michongo, namwita Mfalme Wa
[02:16.96] Jungle
[02:18.63] Boss wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo
[02:21.11] Mwenye maamuzi ya mwisho angetaka
[02:23.25] Angeniumba fungo
[02:23.95] Mafala wana midomo ka vicheche usiwe kati yao
[02:26.39] Wanaosema wenzao rudi angalia maisha yao
[02:29.15] Wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao Maskini
[02:31.50] Haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea Mimi
[02:34.23] Ni hata mtoa wa roho ni malaika, na nahisi Ataenda peponi
[02:37.39] Achia kuhukumu sio kazi yako, we ni mwenzangu Na mimi
[02:39.13] Na una dhambi kama mimi, na hatujui kubwa za Nani
[02:42.79] Labda zako labda zangu, sio kazi yetu ni ya Maanani
[02:45.85] Usiniwaze sana mi nawaza maisha yangu
[02:48.33] Sina hata mia ya urithi vyote hivi ni vya kwangu
[02:51.28] Nshaenda shule bila viatu, nshatoa funza kama Buku
[02:53.88] Na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela Zangu
[02:57.06] Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
[02:59.46] Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
[03:01.96] Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
[03:04.85] Olooh! (Mfalmee!)
[03:07.97] Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
[03:10.42] Ikajipa sifa, kaziba nyufa
[03:13.30] Namwiita ye Mfalmeee
[03:16.03] Mfalmeee
[03:18.85] Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
[03:20.04] Ikajipa sifa, kaziba nyufa
[03:24.18] Namwiita ye Mfalmeee
[03:27.64] Mfalmeee
[03:41.32] Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
[03:43.94] Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
[03:46.40] Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
[03:49.89] Olooh! (Mfalmee!)
[03:51.98]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings