Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Infidele

๐Ÿ‘ค Alikiba โ€ข ๐ŸŽผ ONLY ONE KING โ€ข โฑ๏ธ 3:04
๐ŸŽต 467 characters
โฑ๏ธ 3:04 duration
๐Ÿ†” ID: 9955932

๐Ÿ“œ Lyrics

Ilibidi tu nijiongeze, Niliisha
Pia bora nijipongeze, Naonayamekwisha
Lakini uliniweza maskini, Uliniweza mie ukanijua
Nilipungua sana Bwana, Ninatubu mnanicheka
Ukantawala moyo ukauchukua, Bila aibu ukanitesa
Kumbe ni liar, Unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako wewe
Kumbe ni liar, Unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako
Bora nikuache we uende, Nami niende
Tusiishi kizembe eh, Niache mawenge
Bora uende, Nami niende
Tusiishi kizembe eh, Niache mawenge ah aah

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[02:09.01] Ilibidi tu nijiongeze, Niliisha
[02:14.13] Pia bora nijipongeze, Naonayamekwisha
[02:16.73] Lakini uliniweza maskini, Uliniweza mie ukanijua
[02:20.55] Nilipungua sana Bwana, Ninatubu mnanicheka
[02:22.93] Ukantawala moyo ukauchukua, Bila aibu ukanitesa
[02:27.97] Kumbe ni liar, Unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako wewe
[02:30.90] Kumbe ni liar, Unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako
[02:33.40] Bora nikuache we uende, Nami niende
[02:36.56] Tusiishi kizembe eh, Niache mawenge
[02:40.89] Bora uende, Nami niende
[02:47.29] Tusiishi kizembe eh, Niache mawenge ah aah
[02:49.66]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings