Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Mungu Hawezi Kukusahau

๐Ÿ‘ค Christopher Mwahangila โ€ข ๐ŸŽผ Mungu Hawezi Kukusahau โ€ข โฑ๏ธ 7:34
๐ŸŽต 3238 characters
โฑ๏ธ 7:34 duration
๐Ÿ†” ID: 9968808

๐Ÿ“œ Lyrics

Ooh
Mbali na kwamba Danieli
Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali
Ooh
Mbali na kwamba Danieli
Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali
Ooh
Mbali na kwamba Shedraki na Abedinego
Walitupwa kwenye tanuru la moto
Watu wakajiuliza sana, tulitupa watatu
Wanne ametoka wapi?
Askari wakajiuliza, tulitupa watatu
Wanne ametoka wapi?
Kumbe katikati ya taabu Mungu yupo
Katikati ya mateso Mungu yupo
Katikati ya taabu zako Mungu yuko
Katikati ya vita kubwa Mungu yupo
Hawezi kukusahau, Hawezi kukukimbia
Oh Mungu wetu hawezi kukusahau
Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
(Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi
(Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Usife Moyo ndugu wewe
Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
(Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Usikate tamaa Mungu hawezi
Mungu hawezi, hawezi
Mungu hawezi kukusahau
Usijione uko pekee yako, aah
Kwa nini umepanga kujiua wewe?
Kwa nini umepanga kuikana imani yako?
Kwa nini umepanga kwenda kwa waganga wa kienyeji?
Unaona maisha yamefika mwisho
Kwa nini umepanga kujiua wewe?
Kwa nini umepanga kuikana imani yako?
Kwa nini umepanga kwenda kwa waganga wa kienyeji?
Umehangaika sana ndugu yangu
Ooh unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako
Unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako

Ninalo neno nataka kusema na wewe
Ninalo neno nataka kuzungumza nawe
Hata upitie shida ndugu yangu
Hata upitie magumu ndugu yangu
Mungu yuko na wewe katikati ya majaribu
Mungu yuko na wewe katikati ya magumu
Mungu yuko na wewe usikate tamaa
Mungu yuko na wewe usipange kurudi nyuma
Mungu wee hawezi kukusahau
Mungu wee hawezi kukukimbia
Mungu wee hawezi kukuacha wee
Haweezi haweezi, hawezi Mungu

Mungu hawezi (oh Mungu Mungu) hawezi
(Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi
(Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Usife Moyo ndugu wewe
Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
(Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Usikate tamaa, usirudi nyuma
Mungu hawezi, hawezi
Mungu hawezi kukusahau,usijione upo peke yako
Ninataka nikutie moyo mama yangu wewe
Ninataka nikutie moyo baba yangu wewe
Ninataka nikutie moyo ndugu yangu wewe
Mungu hawezi, hawezi kukusahau

Ninataka nikutie moyo mama yangu wewe
Ninataka nikutie moyo baba yangu wewe
Ninataka nikutie moyo ndugu yangu wewe
Mungu hawezi, hawezi kukusahau
Wanadamu wanaweza kukusahau
Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu
Wanadamu wanaweza wakakukimbia
Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu
Wanadamu wanaweza wakakutenga
Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu
Wanadamu wanaweza wakakutaa
Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu
Haweezi Mungu wangu
Haweezi Mungu wangu, aiyoo
Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
(Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi
(Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Usife Moyo ndugu wewe
Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
(Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
Usikate tamaa, usirudi nyuma
Mungu hawezi, hawezi
Usinung'unike
Mungu hawezi kukusahau

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:27.92] Ooh
[00:29.21] Mbali na kwamba Danieli
[00:31.12] Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali
[00:36.10] Ooh
[00:38.37] Mbali na kwamba Danieli
[00:40.45] Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali
[00:46.05] Ooh
[00:47.32] Mbali na kwamba Shedraki na Abedinego
[00:51.15] Walitupwa kwenye tanuru la moto
[00:55.90] Watu wakajiuliza sana, tulitupa watatu
[01:00.19] Wanne ametoka wapi?
[01:05.07] Askari wakajiuliza, tulitupa watatu
[01:09.58] Wanne ametoka wapi?
[01:14.04] Kumbe katikati ya taabu Mungu yupo
[01:19.68] Katikati ya mateso Mungu yupo
[01:23.93] Katikati ya taabu zako Mungu yuko
[01:28.55] Katikati ya vita kubwa Mungu yupo
[01:33.06] Hawezi kukusahau, Hawezi kukukimbia
[01:37.81] Oh Mungu wetu hawezi kukusahau
[01:41.86] Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
[01:46.15] (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
[01:49.33] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[01:51.19] Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi
[01:55.15] (Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau
[01:58.19] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[02:00.22] Usife Moyo ndugu wewe
[02:01.35] Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
[02:03.48] (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
[02:06.95] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[02:08.53] Usikate tamaa Mungu hawezi
[02:09.83] Mungu hawezi, hawezi
[02:14.68] Mungu hawezi kukusahau
[02:17.05] Usijione uko pekee yako, aah
[02:27.75] Kwa nini umepanga kujiua wewe?
[02:31.47] Kwa nini umepanga kuikana imani yako?
[02:36.22] Kwa nini umepanga kwenda kwa waganga wa kienyeji?
[02:41.01] Unaona maisha yamefika mwisho
[02:45.31] Kwa nini umepanga kujiua wewe?
[02:49.94] Kwa nini umepanga kuikana imani yako?
[02:54.47] Kwa nini umepanga kwenda kwa waganga wa kienyeji?
[02:58.92] Umehangaika sana ndugu yangu
[03:03.53] Ooh unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako
[03:08.34] Unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako
[03:12.81] Ninalo neno nataka kusema na wewe
[03:17.67] Ninalo neno nataka kuzungumza nawe
[03:22.42] Hata upitie shida ndugu yangu
[03:26.93] Hata upitie magumu ndugu yangu
[03:31.73] Mungu yuko na wewe katikati ya majaribu
[03:36.08] Mungu yuko na wewe katikati ya magumu
[03:40.85] Mungu yuko na wewe usikate tamaa
[03:45.49] Mungu yuko na wewe usipange kurudi nyuma
[03:49.94] Mungu wee hawezi kukusahau
[03:54.50] Mungu wee hawezi kukukimbia
[03:59.57] Mungu wee hawezi kukuacha wee
[04:03.59] Haweezi haweezi, hawezi Mungu
[04:10.89] Mungu hawezi (oh Mungu Mungu) hawezi
[04:14.81] (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
[04:16.73] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[04:18.68] Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi
[04:21.56] (Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau
[04:24.27] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[04:26.62] Usife Moyo ndugu wewe
[04:27.94] Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
[04:31.92] (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
[04:34.68] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[04:36.51] Usikate tamaa, usirudi nyuma
[04:41.55] Mungu hawezi, hawezi
[04:44.58] Mungu hawezi kukusahau,usijione upo peke yako
[04:55.13] Ninataka nikutie moyo mama yangu wewe
[04:59.19] Ninataka nikutie moyo baba yangu wewe
[05:03.75] Ninataka nikutie moyo ndugu yangu wewe
[05:07.96] Mungu hawezi, hawezi kukusahau
[05:12.72] Ninataka nikutie moyo mama yangu wewe
[05:17.88] Ninataka nikutie moyo baba yangu wewe
[05:22.17] Ninataka nikutie moyo ndugu yangu wewe
[05:26.69] Mungu hawezi, hawezi kukusahau
[05:31.12] Wanadamu wanaweza kukusahau
[05:35.11] Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu
[05:41.53] Wanadamu wanaweza wakakukimbia
[05:45.10] Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu
[05:50.67] Wanadamu wanaweza wakakutenga
[05:55.12] Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu
[05:59.93] Wanadamu wanaweza wakakutaa
[06:04.65] Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu
[06:08.11] Haweezi Mungu wangu
[06:12.12] Haweezi Mungu wangu, aiyoo
[06:18.04] Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
[06:22.51] (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
[06:25.24] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[06:27.93] Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi
[06:31.37] (Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau
[06:34.31] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[06:35.33] Usife Moyo ndugu wewe
[06:37.52] Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi
[06:41.73] (Oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau
[06:43.92] (Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe)
[06:46.05] Usikate tamaa, usirudi nyuma
[06:50.38] Mungu hawezi, hawezi
[06:51.90] Usinung'unike
[06:55.38] Mungu hawezi kukusahau
[07:18.88]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings