Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Amefanya Mungu

๐Ÿ‘ค PAUL CLEMENT โ€ข ๐ŸŽผ Zawadi โ€ข โฑ๏ธ 5:12
๐ŸŽต 1710 characters
โฑ๏ธ 5:12 duration
๐Ÿ†” ID: 9969949

๐Ÿ“œ Lyrics

DG

Je ni nani angeweza
Kututoa chini mavumbini
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukumbatia

Je ni nani angeweza
Kutuiua kutuweka juu
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatuinua

Je ni nani angeweza
Kutupatia nafasi
Maana kila mtu alikataa
Ila Mungu akatupatia

Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali

Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi)
Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh)

Je ni nani angeweza
Kutukubali jinsi tulivyo
Maana kila mtu alitukataa
Ila Mungu akatukubali

Si elimu zetu
Si ujuzi wetu
Ila neema yake 'metuweka hapa
Haikuwa rahisi

Eh, vile namna neema yako inafanya
Hakuna elimu inaweza fanya
Hata kama ikishindana (hata kama ikishindana)
Hata kama ikipambana (hata kama ikipambana)
Neema yako itashinda

Hakuangalia elimu zetu
Hakuangalia mionekano yetu
Aliangalia mioyo yetu
Kwake tukapata kibali

Amefanya, oh yeah (amefanya Mungu amefanya)
Amefanya, Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi, rahisi(haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
Amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Ni yeye tu (amefanya Mungu amefanya)
Si mwanadamu, si mwanadamu (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)

Haikuwa rahisi oh-oh-oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
Haikuwa rahisi eh-eh-eh oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya)
Mh-mh
Oh na-na
Oh la-la
Le-la
Ne-na

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:01.78] DG
[00:22.73] Je ni nani angeweza
[00:27.27] Kututoa chini mavumbini
[00:32.35] Maana kila mtu alitukataa
[00:37.59] Ila Mungu akatukumbatia
[00:43.42] Je ni nani angeweza
[00:47.67] Kutuiua kutuweka juu
[00:53.08] Maana kila mtu alitukataa
[00:58.06] Ila Mungu akatuinua
[01:03.47] Je ni nani angeweza
[01:08.91] Kutupatia nafasi
[01:13.27] Maana kila mtu alikataa
[01:18.23] Ila Mungu akatupatia
[01:23.80] Hakuangalia elimu zetu
[01:29.27] Hakuangalia mionekano yetu
[01:34.35] Aliangalia mioyo yetu
[01:39.22] Kwake tukapata kibali
[01:43.60] Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
[01:48.96] Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
[01:53.81] Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi)
[01:59.28] Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh)
[02:03.81] Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
[02:09.37] Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh)
[02:14.39] Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi)
[02:19.69] Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh)
[02:25.37] Je ni nani angeweza
[02:29.70] Kutukubali jinsi tulivyo
[02:34.94] Maana kila mtu alitukataa
[02:40.22] Ila Mungu akatukubali
[02:45.72] Si elimu zetu
[02:50.89] Si ujuzi wetu
[02:56.00] Ila neema yake 'metuweka hapa
[03:01.05] Haikuwa rahisi
[03:05.46] Eh, vile namna neema yako inafanya
[03:11.76] Hakuna elimu inaweza fanya
[03:16.66] Hata kama ikishindana (hata kama ikishindana)
[03:19.49] Hata kama ikipambana (hata kama ikipambana)
[03:21.93] Neema yako itashinda
[03:26.43] Hakuangalia elimu zetu
[03:31.73] Hakuangalia mionekano yetu
[03:37.09] Aliangalia mioyo yetu
[03:42.04] Kwake tukapata kibali
[03:44.91] Amefanya, oh yeah (amefanya Mungu amefanya)
[03:50.12] Amefanya, Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya)
[03:55.03] Haikuwa rahisi, rahisi(haikuwa rahisi kwa akili zetu)
[04:01.59] Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
[04:05.37] Amefanya (amefanya Mungu amefanya)
[04:10.66] Ni yeye tu (amefanya Mungu amefanya)
[04:15.59] Si mwanadamu, si mwanadamu (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
[04:21.93] Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
[04:25.87] Haikuwa rahisi oh-oh-oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
[04:32.37] Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya)
[04:35.96] Haikuwa rahisi eh-eh-eh oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu)
[04:42.54] Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya)
[04:48.06] Mh-mh
[04:52.65] Oh na-na
[04:57.60] Oh la-la
[05:00.36] Le-la
[05:03.07] Ne-na
[05:05.52]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings