Home ๐ŸŽฌ Bollywood ๐ŸŽต Pakistani ๐ŸŽค English Pop

Why

๐Ÿ‘ค Ben Pol โ€ข ๐ŸŽผ Ben Pol โ€ข โฑ๏ธ 3:33
๐ŸŽต 1437 characters
โฑ๏ธ 3:33 duration
๐Ÿ†” ID: 9987690

๐Ÿ“œ Lyrics

Ndugu zangu napata malipo ya usaliti
Yakupendwa lakini nikawa sipendeki
Sikujua machungu makali kiasi hiki
Hii dozi inatibu vilivyo me sitaki
Whoaaa amenifanya nawaza
Wangapi niliowatenda
Kila nikikumbuka, najiona mshamba
Nguvu zinaniisha, siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha, nastahili hayaa
Nguvu zinaniisha, siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha, nastahili hayaa
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Silali silali silali (fofofoo)
Silali silali silali (fofofoo)
Ona hayaniishi mawazo (aaaaaah)
Nyingi zinajirudia (aaaaah)
Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)
Mmmmh Malipo ni duniani
Ahela kuhesabiwaa
Me nipo bado rehanii
Nimejitela mwana mkiwaa eeh
Mmmh Zile heshima kuninyenyekea
Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa)
Eti mazima nikampotezea
Nilivyo maliza tu shida zangu (Hahaaa)
Ukimuona mwambieni najiuguza najutia
Tena najiona limbukeni
Yamenifunza ya dunia
Yale machozi yasiyo na hatia
Yana nisubulubuu machozii (Mmmmh)
Upweke najiinamia
Nishatubu nisameehe
Why why why why why oooh
Najiuliza kwa nini
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Why why why why why oooh
Aaah mwenzenu silali
Silali (eeh) silali (eeh) silali (fofofoo)
Silali (eeh)silali (eeh) silali (fofofoo)
Ona hayaniishi mawazo (heheeeh)
Penzi lake ndo chanzo(aaaaaah)
Mmmh
haaaaaah...
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili hayaa
Sheddy Clever on the beat

โฑ๏ธ Synced Lyrics

[00:10.47] Ndugu zangu napata malipo ya usaliti
[00:15.79] Yakupendwa lakini nikawa sipendeki
[00:21.31] Sikujua machungu makali kiasi hiki
[00:26.30] Hii dozi inatibu vilivyo me sitaki
[00:31.82] Whoaaa amenifanya nawaza
[00:34.99] Wangapi niliowatenda
[00:37.86] Kila nikikumbuka, najiona mshamba
[00:44.12] Nguvu zinaniisha, siwezi hata kusimama
[00:49.73] Kinacho nisikitisha, nastahili hayaa
[00:55.75] Nguvu zinaniisha, siwezi hata kusimama
[01:00.50] Kinacho nisikitisha, nastahili hayaa
[01:04.91] Why why why why why oooh
[01:10.54] Why why why why why oooh
[01:15.90] Why why why why why oooh
[01:21.44] Why why why why why oooh
[01:27.42] Silali silali silali (fofofoo)
[01:33.07] Silali silali silali (fofofoo)
[01:38.01] Ona hayaniishi mawazo (aaaaaah)
[01:41.03] Nyingi zinajirudia (aaaaah)
[01:43.52] Penzi lake ndo chanzo (aaaaaah)
[01:46.33] Mmmmh Malipo ni duniani
[01:49.91] Ahela kuhesabiwaa
[01:52.74] Me nipo bado rehanii
[01:55.58] Nimejitela mwana mkiwaa eeh
[01:59.10] Mmmh Zile heshima kuninyenyekea
[02:02.98] Nikamwona si chochote kwangu (Hahaa)
[02:05.68] Eti mazima nikampotezea
[02:08.45] Nilivyo maliza tu shida zangu (Hahaaa)
[02:11.15] Ukimuona mwambieni najiuguza najutia
[02:16.79] Tena najiona limbukeni
[02:19.34] Yamenifunza ya dunia
[02:22.12] Yale machozi yasiyo na hatia
[02:24.69] Yana nisubulubuu machozii (Mmmmh)
[02:28.05] Upweke najiinamia
[02:30.23] Nishatubu nisameehe
[02:32.82] Why why why why why oooh
[02:37.34] Najiuliza kwa nini
[02:39.49] Why why why why why oooh
[02:42.94] Why why why why why oooh
[02:48.48] Why why why why why oooh
[02:54.04] Aaah mwenzenu silali
[02:55.54] Silali (eeh) silali (eeh) silali (fofofoo)
[02:59.69] Silali (eeh)silali (eeh) silali (fofofoo)
[03:05.19] Ona hayaniishi mawazo (heheeeh)
[03:09.25] Penzi lake ndo chanzo(aaaaaah)
[03:13.04] Mmmh
[03:14.61] haaaaaah...
[03:16.53] Nguvu zinaniisha
[03:19.56] Siwezi hata kusimama
[03:22.15] Kinacho nisikitisha
[03:25.05] Nastahili hayaa
[03:27.50] Sheddy Clever on the beat
[03:30.26]

โญ Rate These Lyrics

โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†โ˜†
Average: 0.0/5 โ€ข 0 ratings