Menu
Taarifa Mpya kuhusu Mbunge wa CHADEMA Aliyepata Ajali Dodoma
Gilly Bonny Tv
Published: 5 years ago
818 Views
Uploaded by
Gilly Bonny Tv
Mbunge wa Viti Maalumu, Kunti Majala (Chadema), aliyepata ajali ya gari na kujeruhiwa akiwa na familia yake mkoani Dodoma amesafirishwa kwa ndege kwenda Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.
Show more